Mwanadada Batuli, Staa wa kutoka Bongo Movies ametoa kali ya mwaka na ame PROVE kuwa na kipaji cha uigizaji hata bila kuwa mbele ya DAIRECTA.... (Kwa mtazamo wangu) hii baada ya kuweka picha yake kwenye mtandao wa INSTAGRAM akiwa amelala na kuwatakia followers wake USIKU MWEMA (akiwaaminisha kuwa hapo alipondio analala hivyo)....na kesho yake akiwa palepale kitandao akaweka picha nyingine na kuwatakia ASUBUHI NJEMA (akiwaaminisha kuwa hapo ndio anaamka).
Tazama picha hizi kawa UMAKINI then utagungua KITU....
Hapa anasema;
Then
Hahahaha! Nouma sana....Huyu alilala au alifumba macho na kufumbua...Tuwe REAL JAMANI