Sunday, May 18, 2014

UPDATE: Mpaka sasa Diamond anaongoza kwa kura nyingi tuzo za BET….Bofya hapa kumpigia kura na wewe..USIACHE SHUKA NAYO CHINI!!

Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Diamond
Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya Kwanza katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza Kushinda Tuzo Hiyo..
Msimamo Upo Hivi Kwa Sasa
vote
Ukitaka Kumuongezea Kura Diamond Basi na wewe Bofya hapa  *****MPIGIE KURA DIAMOND HAPA******