Friday, June 27, 2014

BARNABA BOY AMEAMUA KUINGIA GIM, GYM RASMI ETI ANATAKA KUMSHINDA DIAMOND THE PLATNUMZ KWA BODY LAKE

Hapana chezea mastaa wa bongo dar es salaam, as we know na tumeona kupitia masta kibao namna wanavyopata maendeleo pamoja na kipato kikubwa kutokana na kazi zao za muziki wanazozifanya, hivyo basi inajulikana kabisa kuwa mashabiki wengi wa kiume wa muziki , huwa basi wanavutiwa na wasanii wa kike ambao watakuwa wanajua kulitawala jukwaa vzuri pamoja na kuwa na mvuto mzuri kuanzia mavazi mpaka maumbile, like wise kwa mashabiki wa kike nao, so kutokana na hilo basi, msanii barnaba akaona hana budi kuingia gym na kuanza kuutengeneza mwili wake kwa mazoezi ili na yeye apate kuonekana na muonekano mzuri kama vile diamond the platnumz, so thats watsap mtandao wa makubwa haya blog inampa bigup sana kwa msanii barnaba boy kwa uamuzi alioamua kuuchkua..