Daaah hii kali sana.....Diva wa Clouds FM leo hii kupitia mtandao wa INSTAGRAM ameshangaza wengi na kuwapa chakusema wale wanao mponda kuwa ana UMBO bovu yani baya......na huwa ana EDIT picha zake....Sasa leo ameibuka INSTAGRAM na kuanza bwaga picha zaidi nne akiwa amevaa ngua za kulalia...na kushusha ujumbe mzito kwawanao mponda