Hii unaambiwa dont try this at home, ni michezo ambayo kama ujafanya katika ujana wako au utoto wako, usije ukajaribu ukubwani, utaweza acha skendo ya mwaka mbele ya watu, kwa watoto wakishua ambao wamekaa magorofani au kwa wale waliopitia maeneo kama haya, nadhani wameshajaribu mara nyingi tu. Haya sasa ni Diamond Platnumz na nduguye Romyjones wakijikumbushia enzi zao wakiwa huko katika miji ya watu nchini Belgium…noma sana.