JIJI LETU

Thursday, June 26, 2014

HII NDIYO NGUO ATAKAYOVAA DIAMOND KWENYE RED CARPET YA BET AWARDS


BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio. 
 
Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz.

Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.
at 10:19:00 PM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards
  • KIBAKA ANUSURIKA KUUWAWA DODOMA MJINI BAADA YA JARIBIO LA KUTAKA KUIBA BASKELI
  • AUNT EZEKEL Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na WEMA Kwa Sasa
  • HII NDIYO LIST KAMILI YA MASTAA WANAOTUMIA MAKALIO BANDIA YA KUVAA, ISOME HAPA
  • Magazeti ya Leo Jumapili ya Februari 21
  • Vigogo TRA Wakutwa na Mamilioni Nyumbani Kwao
  • NOMA SANA HII: ALICHOKIONGEA OMMY DIMPOZ BAADA YA DIAMOND KUSHINDWA BET AWARDS 2014..
  • DUH! NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA...NI BAADA YA KUOLEWA NA MGANGA WA KIENYEJI
  • January Makamba Awapa Makavu Wapinzani
  • Mastaa Bongo Wenye Mashabiki Wengi Instagram
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.