Watu na nyota zaooooo safi sana Chibu
2 Days to go then voting lines close. Bado siku mbili kupiga kura kunafungwa MTV please please naombeni tupige kura, "#teamtanzania #teamuzalendo #teameastafrica #marafiki naombeni tuendelee kumpigia kura @diamondplatnumz kwenye MTV ili aweze kushinda kweye tuzo za MAMA. Mwisho wa upugaji kura ni midnight 4 June 2014. Jamani sisi ndo tutakao muwezesha kushinda. Unaweza vote kila baada ya lisaa. Naombeni tuondoe tofauti zetu tumpigie kura msanii wetu, kama yetu na shemeji yetu @diamondplatnumz. Umoja ni nguvu