Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako
Mavuno ya mzee?
Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.
Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la kulalia