Monday, June 2, 2014

HAWA NDO MASTAA WA BONGO SITA, KABLA NA BAADA YA KUTUMIA MKOROGO, CHEKI PICHA ZAO HAPA

Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo “bleaching” , full u-michael jackson :-) Hizi ni baadhi za picha zinavyoonyesha wasanii hawa wa kike walivyokua mwanzo na walivyo sasa ;-

Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’

DJ-Penny-Kajichubua
Jackline Wolper
Jackline-Wolper-Kajichubua-vibe-co-tz
Wema Sepetu
Wema-Sepetu-Kajichubua-vibe-co-tz
Shilole
Shilole-Kajichubua-vibe-co-tz
Ray C
Ray-C-Kajichubua-vibe-co-tz
 Ruth Suka ‘Mainda
Mainda-amejichubua-vibe-co-tz

Je , Unadhani nani kajichubua sana kupita wenzake?