Wednesday, June 25, 2014

TAZAMA PICHA KALI ZA BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WA KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST

1Kanye West na Kim Kardashian hawakutumia gharama kubwa kuandaa party ya mtoto wao akitimiza mwaka mmoja tangu azaliwe. Party hiyo ilifanyika kwenye sehemu ya nyuma ya nyumba ya Kourtney Kardashian na kuhudhuriwa na marafiki kama Ciara,Blac Chyna,Lala na ndugu wengine.
2
3
4
5
6
7