Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.
Diamond Platnumz anaungana na mastar kadhaa wenye verified kwenye akaunt zao ambao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete,Ambwene Yesaya ‘Ay’,Flavian Matata.January Makamba na baadhi ya mastaa