Tuesday, July 8, 2014

ALICHOKISEMA WEMA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA DIAMOND PLATINUMZ

Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny.
Sasa basi  jana ilikuwa  ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii akiwa  amekumbatiana  na  mama  Diamond  kuonyesha  kuwa  hakuna  ugomvi  tena  kati  yao…..
mamaD
Picha  hizo  ziliambatana  na  ujumbe  huu:
“today is this amazing woman’s birthday…naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama’ngu kipenzi …Mungu akutangulie mummy….akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu…..love you mama’ke”