Tuesday, July 8, 2014
UMEIONA SARAFU MPYA YA SHILINGI MIA 500 HII HAPA
Siku za hivi karibuni utakuwa umesikia kuhusu kubadilishwa kwa noti ya shilingi 500 na iwe ya sarafu baada ya baada ya kuonekan kuwa inachakaa kwa haraka zaidi sasa inasemekana kuwa hivi ndivyo itakavyokuwa sarafu ya shilingi mia tano
Newer Post
Older Post
Home