Thursday, July 10, 2014
ANGALIA AINA TOFAUTI ZA HASIRA HADI JIBABA KUTAFUNA JEZI, KISA 7-1 ZA UJERUMANI
Mwanamitindo, Alessandra Ambrosia na Adriana Lima pia waliangalia mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia Brazil ikifungwa 7-1 na Ujerumani jana
Gerard Butler na Ellen Jabour pia waliangalia mechi hiyo Uwanja wa Mineirao mjini Rio De Janeiro
Mwanadada akiwa na hasira mpaka basi baada ya kipigo
Shabiki aliyekasirika akila jezi ya Brazil baada ya timu hiyo kufungwa 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia jana
Newer Post
Older Post
Home