Shetta alihudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Talent [THT] sasa baada ya watu kufuturu tu na yeye kuingia wakamwita pembeni kama wanaongea nae kilichofuata hapo sasa ni maji tu.
Sasa hii imekuwa tofauti kwa sababu Shettah kamwagiwa hadi maji ya Ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria yaliyokuwa na chakula pale THT,cheki picha hizi walichomfanyia wadau Baba Qaylah.