Monday, July 7, 2014

JE UNAMJUA TAJIRI AMBAYE DIAMOND PLATINUMZ KAJIPACHIKA JINA LAKE? (DANGOTE) TOKA NIGERIA CHEKI HAPA MALI ANAZOMILIKI

huyu ni tajiri mkubwa nigeria na afrika kwa ujumla ambapo inasemekana anakosa pesa kidogo kumfikia billlgate kwa sasa, jamaa anamiliki kampuni kubwa zaidi ya ishirini na yumba za kutosha magari ndege pamoja na boti za kalia aina , si mwingine ni Aliko Dangote kama anavyoonekana kwenye picha na hizi ni baadhi ya utajiri wake
Aliko Dangote (aliyekaa ) akiwa katika moja ya ofisi zake






kwa sasa msanii diamond amejipachika jina hilo lakini ukweli ni kwamba anatakiwa kupigana na kujituma sana kufikiha utajiri alio nao dangote wa kweli kweli