Monday, July 7, 2014

MADEMU WANASEMA ET HUYU NDO MWANAMUZIKI ANAEONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA BONGO, KAWAFANUKA KINA DIAMOND, HEMED NA WENGINE

 
 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.