MPAKA NOMA:VIDEO QUEEN MWINGINE ATUPIA PICHA YA MAPAJA YAKE INSTA
Luluu
BINTI huyu aliyekuwa Video Queen wa mwanamuziki Pasha katika wimbo wake mpya, Leo amewashtua watu Instagram baada ya kutupia picha ya upaja laivu bila king'amuzi, Ama kweli wadada wasiku hizi ni shidaaaaaa...!