Saturday, July 19, 2014

TATHMINI YA AJALI ZA BARABARANI KUANZIA JANUARY MPAKA JUNE 2014 HII HAPA.

ajaliKamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Dcp Mohameed Mpinga katoa tathmini ya ajali za Barabarani kuanzia Mwezi Januaary mpaka June ikiwa n i kipindi cha nusu mwaka na hivi ndivyo hali ilivyo.
mpinga
  TATHIMINI YA MATUKIO YA AJALI ZA
 BARABARAN JAN-JUNE 2013/2014

Takwimu zinaonyesha kuwa juhudi zetu zimefanikiwa kwa kupunguza ajali na majeruhi,ingawa kuna ongezeko la watu waliofarika katika ajali kwa Jan – June 2014.
S/N0JAN-JUNE 2013JAN –JUNE 2014ONG/PUNG (%)
1IDADI YA AJALI11,3118,405-          2,906     (26%)
2VIFO1,7391,743                 4   (0.2%)
3MAJERUHI9,8897,523-          2,366     (24%)


 MIKOA ILIYOONGOZA KWA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2014:-

i)        Kinondoni   – idadi ya ajali      2,140 (25.5%)
ii)      Ilala              - idadi ya ajali – 1,561 (18.6%)
iii)    Temeke      - idadi ya ajali – 1,351 (16.1%)
iv)    Morogoro     –  idadi ya ajali – 514 (6.1%)
v)      Kilimanjaro – idadi ya ajali – 332 (4%)

Kwa mkoa wa DSM peke yake ni ajali 5,052 ( 60.2%)

MIKOA ILIYOONGOZA KATIKA KUPUNGUZA IDADI
YA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2013/2014
MKOAJan-June 2013Jan-June 2014Punguzo
Kinondoni30592140     919 (30%)
Pwani738303     435 (59%)
Arusha563164     399 (71%)
4Kilimanjaro697332     365 (52%)
5Morogoro631514     117 (19%)

    TAKWIMU ZA MAKUNDI YALIYOATHIRIKA
NA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2013/2014.
     JAN-JUNE 2013JAN- JUNE 2014     TOFAUTI
KUNDIVIFOMAJERUHIVIFOMAJERUHIVIFOMAJERUHI
MADEREVA124725117527-7-198
ABIRIA4764,1125293,13553-977
W/PIKIPIKI3592,4603581,928-1-532
W/BAISKELI202560177304-25-256
W/MIGUU5501,9265481,603-2-323
W/MIKOKOTENI281061426-14-80
JUMLA1,7399,8891,7437,5234-2,366
AJALI ZA PIKIPIKI- JAN-JUNE 2013/2014.
 Takwimu zinaonyesha kuwa tumeweza kupunguza ajali, vifo na majeruhi katika ajali za Pikipiki kwa kipindi cha Jan-June 2013 ikilinganishwa na Jan- June 2014.
Jan-June       2013Jan-June 2014ONG/PUNG
IDADI YA PIKIPIKIZILIZOHUSIKA3,7203,170-          550 (15%)
IDADI YA AJALI30162402-          614 (20%)
VIFO457423-          34 (7%)
MAJERUHI29632301-          662 (22%)