Thursday, July 17, 2014

WAZUNGU HAWA WAKIKUTANA NA DIAMOND LAZIMA WATAMPA ZAWADI TU KWA ALICHOWAFANYIA..SOMA ZAIDI

Katika kile kinachoonyesha kuwa ni kukubalika kwa ngoma za kibongo ni pale ambapo wazung walionyesha kuikubali ngoma ya mdogomdogo ya diamond na kucheza kiustadi kubwa kama vile 

wanajua kinachozungumziwa, hii nliktana nayo maisha club dodoma upande wa vip ambapo ilipopigwa ngoma hiyo ya diamond wazungu ambao wengi ndio wanakuwa upande wa VIP walipiga kelele huku wakiiga staili ya kucheza nyimbo ya mdogomdogo, pia wakijaribu kutamka maneno mawili matatu japo kwa shida,