Kama mnavyojua kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..
Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini
Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko.
Leo hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
masogange ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika
Kusini…na ku-caption alama ya kupiga makofi….hii
nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa
mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa
nchi mbili kwa hiyo kama ni kweli basi Masogange sio
mtanzania mwenzetu tena…Baadhi ya watu waliocomment
kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi…
SOURCE: UDAKU LEO