Ni time nyingine tena ya mkali wa mauno Snura ambae alishawahi kuingia kwenye headlines ikiwemo nyimbo zake kutolewa na BASATA kushiriki kwenye tuzo za KILI 2013/2014.
Single zilizompa uzito kwenye jina lake ni pamoja na Majanga, ushaharibu na nimevurugwa lakini leo hii ametuletea hii mpya, ni official single ya nne inaitwa Jidabue.