Saturday, August 30, 2014

SINTAH "NASHUKURU LE MUTUZ UMENISIKILIZA..ACHANA NA VINUKA MKOJO"


"Nashukuru umenisikiliza my ndugu Le Big show Le Mutuz nilikwambia na kila siku nikiongea na wewe nakwambia, achana na vinuka mkojo wa mitaani , unakaa na watu wasiongea mambo ya maana  kuanzia asubuhi wakiongea la maana ni ku snitch mtu,wewe ongea na matajiri wakuambukize harufu nzuri ya ankara sasa nakuona jinsi unavyo shine, mie tangu nijue hiyo kanuni sipati shida na mtu nni mwendo wa salamu,

    unacheka nao wabaya ni haohao, usnitch umetawala kila sehemu kazini, majumbani, kwenye familia seriously u dont know who to trust , ila umeniuzi mbona hukunichukua kwa Ken na mie nikatoe maada zangu si unajua beauty plus brain, usingekuwa disappointed, next trip usiniache....

Big up na endelea kunisikiliza utapata mengi ......"SINTAH