Saturday, August 30, 2014

KWELI NICK MINAJI NI FUNDI WA KUTIKISA MAKALIO YAKE, TENA AKINA NA KIBIKIN.. MTIZAME HAPA AKIPERFOM WIMBO WAKE MPYA WA ANAKONDA

Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabiki wengi
ni ile Burudani kutoka kwa Mwanadad Nick Minaj na wimbo wake mpya wa Anaconda, Nick Minaj aliaacha watu hoi pale alipoanza kuyarudi huku akitikisha booty lake na fans wengi kushangilia,
Tazmaa video hapa kuona alivyowapagawisha wengi