Sunday, August 24, 2014

DIAMOND AWAJIBU KWA TAARABU WANAODISS MAPENZI YAKE NA WEMA...!!

 
Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.

Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????

Siku chache zilizopita Diamond na Wema Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya mashabiki wa Wema kuanzisha kampeni yenye hashtag #BringbackOurWema, wakimtaka Diamond amrudishe kwenye chart yake Wema ambaye walidai amejikita kwenye mapenzi zaidi hivi sasa...
chanzo: udakumagazine