Sunday, August 24, 2014

MTOTO AUWAWA NA MAJAMBAZI ARUSHA, TAZAMA PICHA INASIKITISHA SANA


Kumradhi kwa picha ya Malaika huyu " Hii imetokea arusha jana saa tano usiku jamaa yuko na mke na watoto wao wawili wa kike wanatoka dinner wanarudi nyumbani mara jamaa wa toyo wawili wakasimamisha gari yao na kuwaamuru watoe vyote walivyonavyo kaka hakusimama akawasha gari na kukimbia wakaanza kukimbizana wanaelekea mbauda ndipo watu waliokua kwenye toyo wakapiga risasi kwa nyuma maskin ikampata mtoto wake wa miaka nane ambae alikuwa amelala kwenye siti ya nyuma straight kwenye ubongo na hawakua na habari ile wamefika mahala penye usalama wacheki ni nn wanaona mtoto damu zinamtoka machon kumkimbiza hospitali mount meru wameshindwa kumtoa risas mtoto akafarik jana hyohyo majira ya saa saba .. 

Huzun sana baba mtoto anafanya kaz UN liberia alirud tu likizo na hyo mambo ya ebola juzi sasa ndio alikua anarud kwenye kazi yake kuhusu kudeal na ugonjwa wa ebola liberia na jana ilikuwa last night na familia kaipeleka dinner haya mtoto wake ndo huyo kauawa wazazi wake wamechanganyikiwa... Kumradhi kwa picha ya mtoto"

Jamani ‪‎wezi‬ huyu malaika mkamuua kwa tamaa zenu za kutaka mali bila kuzitolea jasho!!!! ee Mungu Okoa Taifa hili... vijana wawezeshwe Ajira za halali waondokane na dhambi hii na hali yao ya kujitoa muhanga kwa kazi hii ngumu ya wizi na inaleta maumivu kwa watu wasio na Hatia kama hii familia...wajaalie Wenye dhamana‬ na Taifa hili waache ulafi na ufisadi ili rasilimali za nchi hii ziwanufaishe ‪#‎Vijana‬ pia mwe!!! ‪#‎imeniumasanaaaa‬ ��