Monday, August 18, 2014
KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA AKAMATWA NA KUCHEZEA KIPIGO KITAKATIFU!!
Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.
Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.
Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.
-GPL
Newer Post
Older Post
Home