Friday, August 29, 2014

MAKAVU LIVE: PICHA YA MITEGO INSTAGRAM YAMPONZA RECHO, APEWA ZA USO LIVE..!

Picha ya Recho iliyomfanya ashambuliwe!
Muimbaji wa ‘Kizunguzungu’ Racho amejikuta katika wakati mgumu na kushambuliwa Instagram baada ya kuweka picha ya mitego. 

Recho ambaye kwa sasa amewataka mashabiki wake kumuita ‘Recho Mapenzi’ aliweka picha instagram ikiwa na ujumbe “Studio..muda wa kushambuliwa. kazi” na kuvutia comments nyingi za kumponda! 
Angalia baadhi ya comments hizo: 
wengne bhana ndo kutafta umaarufu kunuka kwa vicky_greenapple2 Kukaa mapaja waz hivyo ndo nini sasa…watu 
Jamanii kibukta ichoo sio chupii sema kimepanda nguv au…ur such a lady respect ur kabinti_eyez 
Acha kujishushoa hathi.Amna atakae kufagilia tuu..ila dada anguu usirudie tenah sio vizuriii mwil ni hekalu la munguuu Muktarishafii57 
mmmnhh….umenyambwa haswaa cyo kwa ujinga huo nimekutharau xana. Zayyadamnyeke Ungetoa tuu mwayaa mana kidogo..polee lakn @rachellkizunguzungu 1d 
na we ushawehuka, ndio maana mnamegwa Hyasinta14 Wasanii kwa kuiga upumbavu hivi huo mwili unamwachia nani labda , zamani hukuwa hivyo mnatemwa,puuuh 
biashara matangazooo…sorry ushapata wateja Chugagirl4real Hivi kweli akili yako ipo sawa? Ukapost kabisa ujinga huu eti upo studio ..mmmmh kweli 
Elianotariq_daznundaz wangapi kwanzia umepost hii picha?falaaaaa WWW@Rachellkizunguzungu mfyuuuuuu…. nimekushusha mpaka miguuuni 
zimewajaa Fatilieni yenu jamanii mbona hivyo,nyie wenye mapaja si mngepiga na nyie picha tuone,fanyeni yenu,coment za kandia hazipendezi…husda tuu