Wiki chache inasemekana uhusiano huu haukuwa kwenye hali nzuri baada ya mashabiki wa Wema kuanza kampeni ambayo ilikua ikimtaka Diamond Platnumz amrejeshe Wema aliyekua akicheza filamu kama zamani.
Mezani kwa Soudy Brown leo ni kuhusu isue hii ambayo kwa sasa inasemekana Diamond na Wema wameachana tena ingawa si mara ya kwanza ila uhakika wa stori tunaungana na Soudy Brown kumsikiliza Wema akizungumzia hili.
Bonyeza play kusikiliza.