Wednesday, August 13, 2014

WIMBO MPYA: BONGO HIP HOP-FID Q FEAT. P FUNK MAJANI...USIKILIZE HAPA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya rapper toka Mwanza, Fid Q  na ameamua kuachia wimbo wake ‘Bongo Hip Hop’ aliomshirikisha P-Funk Majani katika kusherehekea siku hiyo.
Wimbo huu umetayarishwa na Majani ndani ya Bongo Records na utakuwa sound track kwenye documentary ya rapper huyo aliyoipa jina la ‘Bongo Hip Hop


<<BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU>>