Wednesday, August 13, 2014

YEMI ALADE ALIVYOPAGAWISHA TAMASHA LA VODACOM NIGHT OF HOPE 2014

Diva wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade akimtafuta Johnny.
Yemi Alade akipiga shoo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Mashabiki wakicheza wimbo wa Diva wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade.
Yemi Alade akicheza na mashabiki wake katika Usiku wa Matumaini 2014 Uwanja wa Taifa, Dar
...Akiendelea kumtafuta Johnny wake.
-GPL