Tuesday, September 16, 2014

AIBUU:TAKO LA NICK MINAJ LAHAMA WAKATI AKIPERFORM JUKWAANI

Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery  kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako  hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks  siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..
Nicki-Minaj-Fake-Butt
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki.
Nicki-Minaj-Fake-Butt-2
Ukiangalia hii picha ya juu uagundua upande wake wa kulia tako lake halijakaa vizuri. Je, Unaongelleaje hili swala la plastic Surgery ?