Friday, September 26, 2014

BALOTELLI AIBUKA NA MTINDO MPYA WA NYWELE...KAPENDEZAJE???

KUREJEA Ligi Kuu ya England pekee ni kama hakukutosha kwa Mario Balloted kuwavutia watu na sasa mshambuliaji huyo ameamua kubadilisha na mtindo wa nywele zake.
Wekundu wa Anfield walimsajili Balotelli kutoka AC Milan kwa Pauni Milioni 16 msimu huu, na kocha Brendan Rodgers amemtaka Mtaliano huyo kutuliza kichwa na kufunga mabao.
Na wakati Rodgers akissistiza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 si mtata, anaibuka na mtindo mpya wa nywele ambao utazua gumzo.

Mario Balotelli akionyesha mtindo wake mpya wa nywele unaomfanya apendeze zaidi kimwonekano
Balotelli shows off another of his extravagant hairstyles in a heated dispute with Joey Barton in 2012
Moja ya mitindo ya nywele ya Balotelli wakati anachezea Manchester City kama anavyoonekana hapa wakati akidhibitiwa asigombane na Joey Barton mwaka 2012
Balotelli was as cool as ice as he dispatched his penalty in Liverpool's shoot-out victory against Middlesbrough with consummate ease
Huu ni mtindo wa nywele alioingia Liverpool Balotelli kama anavyoonekana hapa akifunga penalti dhidi ya Middlesbrough juzi katika mechi ya Kombe la Ligi