Huyu anaitwa Nish Kards, kutoka Ghana alikuwa mpenzi wa mwanamziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, Kupitia ukurasa wake INSTAGRAM, followers wake wamekuwa wakimfananisha na Kim Kardashian na kumuita The Ghana’s Kim Kardashian.....Hebu tumuone KOZ hata kajina kiana kama la KIM.. |