Mavazi mabaya siku hizi maeneo ya kanisani siku hizi bongo ni kituko...!!haya fati maadili kabisa.Wakati dada zetu zamani walikuwa wanavaa mavazi yenye heshima..sasa imekuawa kama mavazi yaliyo pitwa na wakati
Amini usiamini wanasababisha mkanganyiko mkubwa kwa kaka zetu na wachungaji wetu kwa sababu nao pia ni watu sio malaika.Una kuta ibada inaharibika kabisa kutokana na mawazo potofu yanayo kuja hakilini..!!
Nani wakulaumiwa wazazi ,elimu na shule kwa ujumla,jamii au teknolojia...!!!?