Thursday, January 1, 2015
MCHUNGAJI WA KANISA KUBWA NCHINI KENYA AMNADI MTOTO WAKE MTANDAONI!!
Ni mmiliki wa kanisa kubwa kuliko yote nchini Kenya linalojulikana kwa jina la Jubilee Christian Centre ambayo yanawavutia wengi kutokana na kuongoza makomano ya kitajari nchini kenya, Kanisa ilo ni kubwa sana mpaka kufikia kuwa na matawi yake nchini marekani
Mmiliki wa kanisa hilo Allan Kiuna anafamilia yake yenye watoto watatu wa kwanaza anaitwa Vanessa mwenye miaka 23 ambaye anasoma Australia pamoja na wadogo zake Stephanie na Jeremy bila ya kumsahau mkewe.
Sasa siku ya jana alifanya kioja baada ya kupost picha yake na mtoto wake Vanessa akiwa ndani ya Bikini na kuandika hivi
"Awesome master piece of God's creation!!!".
Hahaha baba anamnadi mtoto wake lol