Moto mkubwa umeikumba M-Net’s Big Brother Africa Hotshots house katika Studio ya Sasani na kusababishwa kusitishwa uzinduzi wa msimu wa 9 wa Big Bother ambao ulibidi uanze tarehe 7 September siku ya Jumapili. Hakuna mtu aliyepata madhara japokua chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na uchunguzi unaendelea.