Sunday, September 21, 2014

KITABU CHA "MWANAMKE MSAGAJI AMENIAMBUKIZA UKIMWI" SASA KINAPATIKANA BURE MTANDAONI


Habari  za  leo  ndugu  wapenzi  wasomaji. Tunapenda  kuwafahamisha  kuwa, tumepewa  idhini   na mwandishi  pamoja  na  wachapishaji  wa  kitabu  cha “Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi“.

 
Habari  njema  kwako  ni  kwamba, kitabu  hiki  sasa  utakisoma  bure  kabisa  kupitia  blog ya  Ulimwengu Usioonekana.
 
Kusoma  kitabu  hiki  kuanzia  sura  ya  kwanza  hadi  ya  mwisho, tembelea :   http://www.mungwakabili.blogspot.com

Maelezo Mafupi kuhusu Kitabu :

Jina la Kitabu:
Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi

 
Mwandishi : Restituta Mahauri

Idadi ya sura :  27
Mawasiliano ya mwandishi:   restitutamashauri@gmail.com

MAELEZO MAFUPI

Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi” ni kitabu kinachoelezea simulizi la ukweli la wanawawake wawili wa Kitanzania Zuwena   na Angel ambao wameambukizwa virusi vya ukimwi kwa njia ya kujamiiana na wanawake wenzao.