Uwezo wake wa abiria ni kubeba watu watatu na huwa inahitaji service ndogo sema hii ni kwa ajili ya safari fupifupi za town ambapo pia kuchaji betri yake ikajaa inaweza kukupeleka kwenye safari ya umbali wa kilometa 50.
Zbee ambayo imekua ikitumika sana nchini Sweden ambako ndiko ilikoundiwa, inafahamika kama usafiri binafsi wa kufanyia shopping.