Tuesday, September 23, 2014

PICHA: HUYU NDIE WEMA SEPETU WA UGANDA, MTAZAME HAPA NI SHIDAAAAAHHHH...

Ukiongelea demu maarufu na mwenye mvuto,ushawishi na kila kitu hapa bongo basi wa kwanza kuingia akilini atakua ni bibie wema sepetu hasa ukizingatia ametoka kuchukua tuzo ya  Mlimbwende mwenye Mvuto zaidi hapa Bongo kutoka globalpublishers. Pia wema sepetu anamiliki nyumba inayokadiriwa kufikia millioni 400, kampuni ya utenenezaji filamu ya endless fame na magari yakutosha.
Zarinah-tlale-Wema-Sepetu-vibe-co-tz
Kwa upande wa jirani zetu Uganda nao wamebahatika kupata wema sepetu wao,anajulikana kama ZARINAH TLALE au unaweza kumuita “ZARINAH THE BOSS LADY”. Huyu ndie mlibwende anayezungumziwa sana hivi sasa nchini uganda kwa utajiri wake wa ajabu.
Zarinah-tlale4
Zari ndiye msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kua na reality show yake mwenyewe ijulikanayo kama The Boss Lady. Princess huyu ana mafanikio makubwa sana,anamiliki biashara kubwa nchini Uganda naAfrika kusini.
Zarinah-tlale3
Pia zari ni moja ya waimbaji wakubwa nchin Uganda huku akiendesha magari yanayokula mafuta vibaya na ya thamani kubwa sana.
Zarinah-tlale5