Sunday, September 21, 2014

YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA MOROGORO.....UNAAMBIWA HAKUNA CHA JAJA WALA JUJU

Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kushoto akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, David Luhende katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mtibwa Sugar ilishinda 2-0.
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kushoto akimtoka beki wa Mtibwa Sugar
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakishangilia bao lao la pili jana
Makocha, Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar kulia na Marcio Maximo wa Yanga SC kushito wakisalimiana jana kabla ya mechi 
Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoifunga Yanga SC jana
Kikosi cha Yanga SC jana