AJALI MTO WAMI: BASI LA SIMBA MTOTO ASUBUHI YA LEO LIMEGONGANA USO KWA USO NA LORI - DEREVA WA LORI AMEPOTEZA MAISHA.
Nimepigiwa simu na jamaa angu anafanya kazi Wami kadai kuna ajali imetokea, watu ni wengi sana na mtandao umezidiwa,kashindwa kunibrief vizuri, Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori amefariki na majeruhi kadhaa
Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa.Njia ilijifunga.
