Sunday, October 26, 2014

BIG BROTHER AFRICA: MSHIRIKI WA KIKE WA TANZANIA (LAVEDA) ANASWA NA KAMERA AKIPIGA PUNYETO( AKIJICHUA)..! ANGALIA VIDEO HAPA


Leo  ni  siku  ya  20  tangu  Big Brother  Africa  ya  Mwaka  huu  ianze. Naamini   kwa  wale  wanaoifuatilia  wanaburudika  vya  kutosha  na  mambo  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  hilo.


Ni  Shindano  ambalo  halikuanzishwa  kwa  lengo  la  kuenzi  mila  na  desturi  za  kiafrika, bali  lilianzishwa  kwa  lengo  moja  tu  la  kutoa  burudani  ya  kutosha  ambayo  mwisho  wa  siku  itawawezesha  waanzilishi  kujipatia  pesa.

Turudi  kwenye  pointi  yetu,  kama  ilivyo  kawaida  ya  siku  ya  Ijumaa  ndani  ya  jumba  hilo, usiku  wa  kuamkia  leo  washiriki  walikuwa  wakiparty  pamoja   kwa  kucheza  na  kunywa.
 
Baada  ya  burudani  hiyo  iliyosimamiwa  vilivyo  na  Dj Izzy  toka  Botswana, dada  yetu  Laveda  ambaye  anaiwakilisha  Tanzania  katika  jumba  hilo  alitoka  na  kuelekea  kitandani.

Akiwa  na  mzuka  wa  kutosha, Laveda  alijifunika  shuka  na  kuanza  kujichua( kupiga puli)  pole pole.

Mtu wa  kwanza  kumshuhuda  Laveda  "akili PULINETI"  ni  mwana  dada  Mam Bea  ambaye  alistushwa  na  mnong'ono  wa  sauti  za  mahaba  .

Ndipo  mrembo  huyo  alipotoka  na  kuwajuza  wenzake  ambao  hata  hivyo  hawakuonekana  kumjali  kwani  "Pini" lilikuwa  bado  linaendelea!
 
Taarifa  hizi  zilioneka  kumkera    Idris ( Mshiriki  wa  kiume  wa  Tanzania)  ambaye  alitaka  kulianzisha, bahati  nzuri  Mr. 265  akaokoa  jahazi  kwa  kumtuliza.

Pamoja  na  yote, Laveda  ni  mtu  mzima, ana  hisia  kama  binadamu  wengine, bado  ni  mtu  ambaye  kimaadili  anaongoza  ndani  ya  jumba  hilo. Kama  huamini, tazama  video  za  washiriki  wanapokuwa  bafuni  uone  ni  jinsi  gani  anaoga.

Leo  ni  siku  ya  20, nakuhakikishia  hutaona  video  hata  moja  ikiyaanika  maziwa  yake  hadharani. Ni  mtu  ambaye  huoga  na  nguo  tofauti  kabisa  na  washiriki  wengine.

Kesho  jumapili, Mshiriki  mmoja  au  wawili  watayaaga  mashindano  hayo. Laveda  ni  miongoni  mwa  watu  walioko  hatarini  kutolewa  kesho.

Kura  yako  inahitajika  sana  kumfanya  asitoke. Kuwa  mzalendo, mpigie  kura  mtanzania  mwenzako.

Matukio  yote  ya  big  brother  yanaruka  hewani  mtandaoni  kupitia  www. bigbrotherafricans.com

Usikubali  kupitwa  na  tukio  lolote  << Ingia  hapa>>

Ingia  hapo  juu  kwa  habari  zaidi  za  big  brother