Saturday, October 4, 2014

DAVIDO, DIAMOND NA CASSPER NYOVEST, KUTUMBUIZA KWENYE UZINDUZI WA BIG BROTHER, JUMAPILI HII


Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big Brother Afrika, Jumapili hii.
 
Ufunguzi huo utarushwa live kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
 
Cassper Nyovest anajulikana kwa ngoma zake kama “Gusheshe” na “Doc Shebeleza” na amewahi kushare jukwaa na wasanii mbalimbali wakiwemo Kendrick Lamar na Wiz Khalifa. 
 

Wengine ni pamoja Dj Dimplez, AB Crazy na Emmy Gee ambao wanafahamika kwa wimbo wao “Rands and Naira”
Usikubali  kupitwa  na  tukio  lolote  kutoka  ndani  ya  jumba  hilo. Picha, Video, Live  Updates, Video  zao  Wakioga  na  Mengine  Mengi  yatakuwa  yakiruka  mtandaoni  moja  kwa  moja  kupitia  site  yako  pendwa  ya  

www.bigbrotherafricans.com  << BOFYA  HAPA>>
 
Bado  hujachelewa, LIKE  ukurasa  wa  Facebook kupata  kila  tukio  kwa  wakati.