HA HA HA TAZAMA PICHA DIMPOZI ALIPOTUA KWA MARA YA KWANZA DAR STESHENI AKITOKA KIGOMA DAH TUNATOKA MBALI...NI SHIDAA
binadamu tunatoka mbali yatupasa kumshukuru mungu kwa kila anachotujaria iwe kdogo au kikubwa. na pia kamwe ukipata husimbeze ambaye hana kwani mungu huyohuyo alokupa wewe ndo kamnyima. mtazame dimpoz afu uniambie kama amewahi kuwaza haya mafanikio