Thursday, October 23, 2014

HAYA MAAJABU..!! HILI NDIO JENGO LILILOJENGWA KAMA ALAMA ZA VIDOLE YAANI FINGER PRINT..?

Ngoja Tukujuze, Najua Hujui Na unahitaji Kujuzwa Ili Ujue zaidi-
Hili Ni jengo la kushangaza Zaidi Lililojengwa Huko Nchini THAILAND Jengo hili limefanana na alama za VIDOLE yaani FINGER PRINT, jengo hili linafahamika kwa jina la FingerPrint Building.
Jengo hili ni kwaajili ya Mifumo ya usalama, Kukuza matangazo ya Magazeti na shughuli mbalimbali za kitaifa. Sura ya jengo hili ukiliangalia ni kama alama za vidole lazima ubaki mdomo wazi...