Saturday, October 11, 2014

VIDEO 5 HATARI TOKA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA ZIKO HAPA...JIONEE MWENYEWE


Huu  ni  Mkusanyiko  wa  Episodes  5  za  Matukio  yote  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  la  Big  Brother  Africa tangu  lianze  Jumapili  ya  tarehe  5.

Katika  mkusanyiko  huu  wa  Video, utafanikiwa  kujionea  tukio  zima  la  uzinduzi, jinsi  washiriki   wanavyokabiliana  na  task  mbalimbali  wanazopewa  pamoja  na  maisha  yao  binafsi  wakiwa  ndani  ya  vyumba  vyao.

Kumbuka  Jumba  hili  ni  la  kikubwa, hivyo  una  hiari  ya  kuangalia  au  kutoangalia. Video  zimepewa  jina  la  Daily  Review ( Episode 1 to 4)

Unataka  kuona  Video?  << BOFYA  HAPA>>

Ingia  hapo  juu  kushuhudia  mambo  yote  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  hilo