Friday, November 21, 2014

HUYU NDIO MSANII ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO ZENYE MAJINA YA NGWEA NA MABOVU

IMG-20141120-WA0005
Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.
Dark Master alikuwa mtu wa karibu na rappers hao na amedai kuwa misiba hiyo miwili ni pigo kubwa kwake. Na hivi karibuni rapper huyo alidai kuwa ameamua kuokoka akimaanisha kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara.
IMG-20141120-WA0008

IMG-20141120-WA0007

IMG-20141120-WA0006

IMG-20141120-WA0004


IMG-20141120-WA0002