Saturday, November 1, 2014

LIST YA MATAJIRI 50 AFRIKA WATANZANIA WAKO WANNE, ICHEK LIST HAPA

dangote
Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.

List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
Unapenda kupata stori motomoto kama hizi kila siku na kwa wakati? jiunge kuwa mwanafamilia wa millardayo.com kupitia instagram.com/millardayo facebook.com/millardayo na twitter.com/millardayo
1
2
3
4
5

 List hii ni kwa Mujibu wa Mwaka 2013 Mwezi novemba ambapo unaambiwa mpaka sasa bado nafasi izo hazijabadilika