Sunday, November 30, 2014

MANENO 6 YA DAVIDO BAADA YA USHINDI WA DIAMOND PLATNUMZ CHANNEL O 2014.

Davido 12Ushindi wa tuzo tatu za Channel O 2014 alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz umekua mkubwa sio tu kwa Tanzania bali Afrika na kona zake ambapo miongoni mwa walioandika baada ya Diamond kushinda ni Davido.
Msanii huyu wa Nigeria ambae alifanya remix ya number one ya Diamond aliandika kwenye page yake ya instagram >>> TANZANIA STAND UP! HE DID IT na kisha akammention Diamond Platnumz.
Kwenye post hii ya Davido ambae hakupata tuzo yoyote ya Channel O japo alikua anawania, imepata likes zaidi ya elfu kumi na nne kutoka kwa followers wake ambao ni zaidi ya laki nne huku comments zikiwa ni zaidi ya mia saba.
Davido on Diamond
Davido 13